Q Chief awaza bendi!
Na Benny Felix, Mwananchi (email the author)
Posted Jumatano,Aprili3 2013 saa 10:30 AM
Posted Jumatano,Aprili3 2013 saa 10:30 AM
KWA UFUPI
Msanii wa muda mrefu katika muziki wa kizazi kipya, Abubakar shaaban Katwila, maarufu kama Q Chief au Q Chillah kama wengi walivyozoea kumuita, ambaye alikuwa kimya kwenye muziki kwa muda mrefu, ameeleza azma yake ya kurudi kupiga muziki wa bendi.
No comments:
Post a Comment