Translate

Monday, 15 April 2013


Baada ya Kajala Kutoka Jela Mapenzi yake na Petit Man yawa Live live5:18 AM

 Mapenzi kati ya hawa wawili sasa yanaonekana live live kupitia BBM na hata kwa washikaji wa Karibu japo mapenzi yalianza hata kabla ya Kajala kwenda jela....Kijana Huyo anajulikana kama PETIT MAN

No comments:

Post a Comment