Translate

Wednesday, 24 April 2013


Lulu afanya kufuru birthday yake


Lulu. BAADA YA MISUKOSUKO MINGI SASA ATUMIA UJASIRI WAKE KWA HALI NA MALI JE NYINYI MNAONAJE?
KWA UFUPI
“Nashukuru sana kwa wote mliofika kunisapoti,  nimepata matatizo mengi sana na wala sikutegemea kama ningekuwa hapa leo, nawashukuru sana na nipo pamoja nanyi,” Lulu

Mawaziri ‘watoroka’ Bunge

hivi sisi wananchi tumewateua wabunge kwa kazi gani kukaa nyumbani na kula posho na nguvuza watanzania bure au kutuwakilisha shida na tabu tunazozipata wananchi 

KWA UFUPI
“Wizara hii ni mtambuka lakini kuna mawaziri 10 pekee humu ndani, wakiwamo mawaziri watano na manaibu watano, hivyo Mheshimiwa Naibu Spika naomba mwongozo wako kama ni sawa kuendelea na mjadala huu katika hali hii,” alisema Lugola.

Monday, 15 April 2013

UKWELI WAFICHUKA HAYA SASA



Baada ya habari nyingi sana kuhusu Irene Uwoya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na Diamond platnumz kutawala vyombo vya habari na kwenye mitandao hapo juzi, hatimaye bongomovies.com tuliamua kumtafuta kwa simu mwanadada Irene Uwoya ili tuweze kumuuliza juu ya tuhuma hizi za yeye kuingilia penzi lwa mwanadada Penny kwa kijana wa “mbongofleva” diamond platnumz.
Baada ya majaribio mengi ya kupiga simu yake ambayo ilikuwa haipatikani muda wote wa mchana baadaye kwenye mida ya saa kumi na mbili hivi jioni tuliweza kumpata hewani na Jibu lake lilikuwa moja tuu kuwa “achana nazo” na sisi tukaona kweli tuachane nazo ila tukufukishie wewe msomaji wetu mpendwa “response” hiyo ili mwenyewe uamue na kutafakari. Hilo ndo jibu alilotupa mwanadada mrembo wa bongo movies Irene Uwoya kuhusu tuhuma za yeye kutoka kimapenzi na msanii Diamond.

"Mange upo Dar nitafute unizabe sweet heart, ila kabla hujanizaba nenda kambembelezee sweet Albert poor u uliniomba nitoe comments sikutoa leo unanitukana SHAMIM MWASHA 

WASANII WA BONGO WABAINIKA KUUZA NGONO KWENYE MAJUMBA YA MAFICHONI


Kampeni ya Fichua Maovu inayoendeshwa na Global Publishers inazidi kuibua mazito! Safari hii imefanikiwa kunasa danguro la ufuska linalodaiwa kutumia na wasanii chipukizi wa muziki na filamu za Kibongo ambalo ni zaidi ya yale yaliyotendeka enzi za Sodoma kabla ya dunia kuangamia, Risasi Jumamosi lina ripoti ya kushtua.

Kwa muda mrefu gazeti hili lilipokea malalamiko ya majirani katika nyumba moja iliyopo Temeke, jijini Dar es Salaam kuwa kuna danguro linalotumiwa na mabinti chini ya umri wa miaka 18 kwa ajili ya kuchuuza miili yao kwa wanaume huku baadhi wakiwa ni wasanii chipukizi wa filamu na muziki wanaohangaika kutoka kisanaa.
Habari Kamili Ipo Katika Gazeti la Risasi la Global Publisher...